Karibu Tacmen Saccos
Karibu sana kwa Saccos ya Wanaume Wakristo Tanzania – mwanaume yeyeote Mkristo toka dhehebu lolote la Kikristo anakaribishwa kuwa nasi. Tumekuwa na chombo chetu hiki sasa kwa miaka takribani minne na sasa tumefikia karibu wanachama 200.

Mafanikio yetu…
200+
Wanachama waliojiunga tangu tuanze ushirika wetu
Tsh 250mil
Mikopo iliyotolewa kwa wanachama
5
Miaka mitano kuelekea kuwa Benki
